Breaking News : NDEGE YAANGUKA NA KUUA WATU 11 ARUSHA

Ndege ya Shirika la Coastal Aviation imeanguka na inasadikiwa watu 11 wamefariki dunia

Ndege imegonga mlima huko Empakai Ngorongoro ikielekea Serengeti, imeua abiria 11 akiwemo rubani mmoja, hii ni ndege ya pili kwa kampuni hiyo kuanguka ndani kipindi cha miezi miwili.

Ndege ya kwanza aina ya Cessna Grand Caravan 5-THR, ilianguka oktoba 25 2017.

Inasadikiwa waliokuwepo katika ndege hiyo ni Simeone Kombe, Nasibu Mfinanga, Gift Lema,Shatri Mfinanga na Mfalala Siyabonga


Pichani ni majina ya wanaosadikiwa kuwamo katika ndege hiyo.
#Radio5.

Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 753 336 000 au +255 625 917 902

Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
 Bofya Hapa

No comments:

Powered by Blogger.