ALIYEKUWA KATIBU WA CHADEMA KANDA YA NYASA AHAMIA CCM
Aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Frenk Mwaisumbe ametangaza kuhama chama chake na kujiunga na CCM.
Mwaisumbe ambaye alishika wadhifa huo kwa kipindi cha miaka sita hadi alipoachia wadhifa huo Januari mwaka huu.
Akizungumza na wanahabari mjini hapa leo Jumatano Mwaisumbe ametaja sababu za kujiunga na CCM kuwa ni kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais John Magufuli za kufufua uchumi wa nchi.
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
No comments: