HILI NDIO GEREZA ZURI ZAIDI HAPA DUNIANI, NI ZAIDI YA MAISHA YA MTAANI...LINA KILA KITU
Kwa kawaida kama tunavyojua sisi gereza ni sehemu mbaya zaidi mtu kuweza kuishi anapokuwa amethibitika kuwa katenda kosa fulani, lakini katika pitapita za hapa na pale leo nimfanikiwa kupata habari za gereza zuri zaidi kuliko yoteapa chini ya jua.
Amini usiamini kuna gereza ambalo hata wewe ukiliona hua amini macho yako. Mpendwa gereza la Justizzentrum Leoben ndiyo jina la gereza zuri zaidi hapaDuniani, gereza hili linapatikana katika taifa la Austria, na hili ndilo gereza linalowajali zaidi wafungwa kuliko magereza yote yale Duniani. Mfungwa akifungwa humu anapata mahitaji yote ya muhimu ya binadamu na ikiwemo mahitaji ya ziada. Mfungwa anakuwa na chumba chake chenye TV, radio na compyuta vile vile kuna sehemu maalum iliyotengenezwa kwaajili ya kufanyia mazoezi.
Pia kila mwisho wa mwezi mnaletewa wasichana kwa ajili ya kufanya mapenzi tena mda mwingine mnapewa wasichana Ambao hawajawahi kufanya mapenzi yaani BIKIRA. Nimekuletea tu baadhi ya picha za gereza hili la kifahari ili angalau tu uweze kusuuza mboni zako.
Vipi kuhusu hili GEREZA ukilinganisha na maisha ya hapa mtaani kwako
Toa maoni.............
TAZAMA PICHA HAPA
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
No comments: