MAAJABU YA DUNIA YATOKEA ARSENAL!!! DOGO WA MIAKA 18 AINGIA DAKIKA YA 85 NA KUTUPIA MAGOLI 2
Mpira umeisha Uwanja wa Emirates Stadium kwa matokeo ya goli 2-1 Arsenal ilibidi wasbiri mpaka dakika ya 85 ili kuweza kusawazisha goli ambalo walitanguliwa kufungwa dakika dakika ya 34 lakin super sub kijana mdogo Edward Nketiah alieingia kipindi cha pili dk 85 alikwenda kusawazisha dakika hiyohiyo kwa mpira wake wa kwanza tu kuugusa na kufunga goli la kuisawazishia timu yake kijana huyohuyo alifunga tena goli la pili dakika ya 96 kipindi cha Exra time na kuihakikishia Arsenal kusonga mbele
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi