MKE WA MGOMBEA CHADEMA AINADI CCM 'MME WANGU HAWEZI'
Tukio la kushangaza limetokea katika Mtaa wa Mfaranyaki, Manispaa ya Songea, ambapo mke wa mgombea wa Chadema kwa nafasi ya uongozi katika eneo hilo amemuomba kura mgombea wa CCM, akidai kwamba mume wake "hawezi" kushinda na wala hana uwezo wa kuongoza.
Katika mkutano wa hadhara uliofanyika juzi mke huyo alisimama mbele ya umati wa watu na kusema kwamba ameamua kumuunga mkono mgombea wa CCM kwa sababu anaamini atakuwa na uwezo wa kufanya kazi bora zaidi kwa ajili ya maendeleo ya mtaa na wananchi.
Alisema, "Mume wangu ni mtu mzuri kwa majukumu ya familia na nampenda sana lakini naona wazi kwamba hana uwezo wa kuongoza.
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
No comments: