ZIFAHAMU TIMU 24 ZITAKAZOSHIRIKI MICHUANO YA CAF YA SUPER LIGUE, SIMBA IMO
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) Sikh ya Agosti 10,2022 ilizindua rasmi mashindano mapya ya Africa Super League yatakayoshirikisha vilabu 24 kutoka Mataifa 16 tofauti ya kanda tatu za kisoka Afrika huku kila ukanda ukitoa vilabu 8
CAF ilipitisha uamuzi huo kupitia Mkutano wake Mkuu wa kawaida wa 44 unaofanyika jijini Arusha Tanzania
Bingwa wa michuano hiyo atavuna zaidi ya bilioni 233 za Tanzania
Tanzania itawakilishwa na Simba SC iliyothibitishwa kushiriki kwenye michuano hiyo inayotarajiwa kufanyika kila mwaka.
Utaratibu rasmi wa michuano hiyo utatangazwa na CAF hivi karibuni
Vilabu 24 vitakavyoshiriki CAF Super League
1 Al Ahly
2 Zamalek
3 Pyramid
4 Al Masry
5 Wydad AC
6 Raja Athletic
7 RS Berkane
8 Esperance
9 Etoil Sportive Du Suhel
10 Orlando Pirates
11 Kaizer Chiefs
12 Mamelodi Sundowns
13 JS Kabyile
14 CR Belouzidad
15 E.S Setif
16 TP Mazembe
17 Horoya AC
18 SC Enyimba
19 Petro de Luanda
20 Simba SC
21 Asante Kotoko
22 Al Hilal
23 Asec Mimosas
24 Coton Sport
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
No comments: