MAAJABU!!! MTOTO WA MIAKA MIWILI ASHANGAZA WATU KWA KUTIBU MAGONJWA KWA KUTUMIA MAJI NA MAOMBI
Mtoto mdogo mwenye umri wa miaka 2 na nusu,Yunisi Atieno, mkazi wa kijii cha BUKAMA, RORYA, Tanzania ameendelea kushangaza watu kwa kuendelea kuwaponya watu kwa maombi na maji, tofauti kabisa na umri wake.
Dada wa mtoto huyo amesema kuwa wapo baadhi yawatu wanaomwita mdogo wake kuwa ni Freemason jambo ambalo sio nzuri.
Dada amesema Yunis hatumii dawa yoyote ile mbali na maji ambayo mtu mwenye matatizo ya kiafya anakuja nayo kutoka nyumbani kwake, hivyo waamini kwa kumtegemea Mungu kwani uwezo huo amepewa na Mungu mwenyewe na sio mwanadamu.
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
No comments: