TFF YAZUIA USAJILI WA TUISILA KISINDA YANGA

WACHEZAJI wa kigeni waliosajiliwa siku za mwisho kuelekea kufungwa kwa dirisha la usajili nchini wamezuiwa kucheza Ligi ya Kuu ya Tanzania Bara kwa sababu zoezi hilo limekwishafungwa.
Maana yake winga Mkongo, Tuisila Kisinda aliyerejeshwa Yanga kutoka RSB Berkane ya Morocco na kiungo Mrundi, Saido Ntibanzokiza aliyesajiliwa Geita Gold hawatacheza Ligi hadi Januari katika usajili wa dirisha dogo.

Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 753 336 000 au +255 625 917 902

Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
 Bofya Hapa

No comments:

Powered by Blogger.