BASI LA NEW FORCE LATUMBUKIA KORONGONI MKOANI MOROGORO
Mtu mmoja amefariki na wengine sita kujeruhiwa baada ya Basi la lenye namba za usajili T 207 DPP kampuni ya Newforce lililokua linatokea Dar kwenda Mbeya kuangua kwenye korongoni eneo la msimba Barabara kuu ya Iringa -Morogoro.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro Fortunatus Musilimu amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema Mwili wa Marehemu umehifadhiwa katika hospitali ya ST KIZITO Mikumi huku Majeruhi hao wakiendelea kupatiwa matibabu katika hospitali hiyo.
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
No comments: