MANGE KIMAMBI AFUNGUKA SAKATA LA ERICK OMONDI KUCHEZEA KICHAPO NA KUKAMATWA NA POLISI
Leo Erick Omond alikamatwa na polisi Sababu ya kuitisha maaandamano ya wasanii ili media zao ziwekewe sheria ya kupiga 75% local content.
I don’t know ila mi naona ndugu zetu waKenya hapa wanafeli. The only reason media zao hazipigi kazi za Wakenya ni sababu bunge lao lilipitisha sheria ambayo iliachia janja janja kuendelea
I think wakenya wanachohitaji sio kulazimisha kupigwa 75% Kenyan content. What they need ni hiyo sheria yao ya media kulipa wasanii wa Kenya iwe kulipa wasaniii woooote dunia nzima kama ilivyo hapa marekani au hata Australia.
Huko Australia haijalishi kama ni nyimbo ya Mu-Australia au ya Mnigeria malipo yapo pale pale. Yanakusanywa na hilo baraza husika then wao wanawatafuta hao wasaniii wa nje.
The problem in Kenya ni kwamba they can play TZ songs for free. They should be made to pay even for TZ songs hapo mbona wata play za wakenya bila hata kulazimishwa na mtu.
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
No comments: