KUTANA NA KIJIJI AMBACHO WANAWAKE HUKATA NYWELE ZAO MARA MOJA TU KATIKA MAISHA YOTE
Huang Luo ni kijiji ambacho kinapatikana huko Guangxi nchini China, na kwa jin jingine kinaitwa pia Long Hair Village.
Na hii ni kutokana na kwamba msichana wa kijiji hicho hukata nywele zake mara moja tu katika maisha yake yote. Na hii ni pale anapofikisha umri wa miaka 18 ndipo anaruhusiwa kukata nywele zake mara moja, hii humaanisha kuwa binti huyo anaingia umri wa mtu mzima
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
No comments: