IMEFICHUKAAH...KOCHA MPYA SIMBA KULIPWA ZAIDI YA MILIONI 98 KWA MWEZI...ISHU NZIMA IKO HIVI...

WAKATI joto la kocha atakayechukua nafasi ya Didier Gomes ambaye ameachana na timu hiyo baada ya kutolewa Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa juu, bado timu hiyo inachakata majina ya waliotuma CV zao.

Rulani Mokwena (34) ambaye anainoa Mamelodi Sundwons anahusishwa zaidi na Simba, huku mshahara wake anaolipwa umefahamika ni Randi 650,000 (Sh 98 milioni) kwa mwezi hali ambayo itawalazimu Simba kumlipa kama anavyolipwa Mamelod Sundwons au zaidi ya pesa hizo kama watamtaka.

Anashika nafasi ya Tano katika orodha ya makocha wanaolipwa mshahara mkubwa katika Ligi Kuu ya Afrika Kusini nyuma ya Stuart Baxter, Manqoba Mngqithi, Josef Zinnbauer, Eric Tinkler

1. Stuart Baxter- R 800,000

2. Mngqithi- R750,000

3. Zinnbauer- R 650,000

4. Tinkler- R 650,000

5. Rulani Mokwena- R650,000

6. Benni McCarthy-R600,000

7. Jan Olde-R600,000

8. Steve Komphela- R600,000

9. Kaitano Tembo- R500,000

10. Steve Barker- R400,000

Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 753 336 000 au +255 625 917 902

Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
 Bofya Hapa

No comments:

Powered by Blogger.