DONGO LA HARMONIZE KWA DIAMOND, HILI HAPA

Mwanamuziki Harmonize amerusha Jiwe gizani kwa kuandika Ujumbe mzito kupitia ukurasa wake wa Instagram upande wa (Insta Story) ambapo ameandika Ujumbe unasomeka hivi;

“Vijana Ni Vyema Kujifunza Ukimsaidia Mtu Sio Lazima Umdai Fadhira Maana Kama Ndio Hivyo Basi Tanzania Yote..!!! Inanidai Pia Ukishapokea Mamilioni Ya Shilingi 600M Ukishavutia Unga Yakiwa Yanakaribia Kuisha Ni Vyema Kuyauliza Au Kuyadai Fadhira...!!! Pia Vijana Jitahidini Kutofautisha Kipi Ni Hatari Kati Ya Mihadarati Na Huo Unga Unaowakondesha...!!! Vijana Jitahidi Kutofautisha Kati Ya Wewe Mwenye Miaka 11 Na Wenye Miaka 6 Umefika Wapi Mana Bar Ni Zile Zile Kicheni Pati Ni Zile Zile Huku USA🤣 Richa Ya Kuvimba Kote Mkiwa Jiji La Mama Samia..!!!!! Vijana Ni Vyema Kuendelea Kuwalipa Wakina Mama Levo Waendelee Kutukana Watu Unaotaka Wakuheshimu Huku Ukiamini Watakufa Kimziki Bila Kujua Unawalipia Promotion🤣 Vijana Jifunze Kupost Msanii Wako Akitoa Wimbo Sio Kuumia Kwa Kutolewa Kwenye Collabo Na Sio Kutafuta Pakutokea Kupitia Kijana Mwenzio Sio Vizuriiii Kaka🤣”.

Harmonize ameandika ujumbe mwingine uliosomeka kama ifuatavyo

“Mkishakosaga Tuzo Zisizo Nunulika Msikimbilie Ngada Haraka...!!!🤣🤣🤣 Rudini Studio Subirieni AFRIMMA👍”

Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 753 336 000 au +255 625 917 902

Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
 Bofya Hapa

No comments:

Powered by Blogger.