JUMA IDD MOLLEL ASHINDA JACKPOT BONUS YA SPORTPESA
MKWANJA umezidi kutolewa kwa wale ambao wanabashiri vizuri Jacpot kutoka kampuni ya kubashiri SportPesa.
Mshindi wa bonasi ya Jackpot Juma Idd Mollel kutoka Arusha ameshinda na kukabidhiwa mfano wa hundi ya mkwanja mrefu.
Pichani ni Juma Mollel akishikilia mfano wa hundi ya TZS. 32,287,745 baada ya kuibuka mshindi wa bonasi ya Jackpot kutoka SportPesa.
Juma alibashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 za Jackpot kwa kuweka kombinesheni za mechi 5 kwa mkeka 1.
Wiki hii Jackpot ya SportPesa ni TZS 499,059,740.
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
Outstanding to see the updating of the steerage and answers via them! casino utan spelpaus
ReplyDelete