Video: DIAMOND PLUTNUM AACHIA VIDEO YAKE MPYA YA WAKAWAKA
Muimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz baada ya kuahirisha kuitoa video yake ya Waka aliyomshirikisha Rick Ross siku ya December 1 kama alivyokuwa kaahidi mwanzoni, usiku wa December 8 ameamua kuiachia rasmi video hiyo iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu, unaweza kuitazama na kuacha comment yak Diamond tapota kuisoma.
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
No comments: