SHILOLE AFUNGA NDOA NA UCHEBE...NDUGU WA SHILOLE WAGOMA NA KUSUSIA HARUSI

official_uchebe ambae ndo mume wa Shilole ameandika haya kupitia ukurasa wake wa instagram

"Naomba nitoe shukran kwa wote mlio udhuria sherehe yangu hii ndoa yakumuoa mwanamke wa maisha yangu Zuwena.. japo sherehe haikuwa kubwa kama za mastaa wengn ila kwa mungu ni kubwa maana tumeachana na zinaa.. ila naomba nitoe masikitiko yangu kwa ndugu wa Zuwena.. walio msusia Zuwena hii sherehe eti hawataki mimi nimuoe. Jaman Zuwena na mm wote ni watu wazima haina haja yakuchaguliana mke au mume Zuwena ameniridhia na mimi nimemridhia ajabu ndugu zake walimpokonya simu eti kuzuia harusi.. Kwamba tusiwasiliane ila mungu akipanga binadamu hana nafasi nashukuru mke wangu kwakutumia kila mbinu ilimradi hii ndoa ifungwe ingawa ndugu zako walipinga 100% ila ulipigania unacho kiamini nakupenda mke wangu... asante kwakuamua kuwa mke wangu na kubeba mimba yangu karibuni utanizalia mtoto.. nakupenda zuwena wangu" Uchebe

Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 753 336 000 au +255 625 917 902

Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
 Bofya Hapa

No comments:

Powered by Blogger.