TSHISHIMBI AUNGANA NA WENZAKE WAANZA MAZOEZI YA GYM
Tshishimbi raia wa DR Congo aliyekuwa majeruhi, ameanza mazoezi na wenzake ambao wanajifua gym.
Kiungo huyo ameungana na wenzake ingawa tayari alianza mazoezi ya gym ikiwa ni programu ya kuanza mazoezi taratibu.
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
No comments: