SIRI NZITO YA WEMA SEPETU YAFICHUKA, HAYA HAPA MAMBO MATATU YALIYOMWONDOA CHADEMA

Kabla ya kufanya uamuzi Huo Ijumaa iliyopita, SWma Sepetu na mama yake mzazi Miriram Sepetu waliokuwa makada wa CCM ,February 24 mwana huu walitangaza kujiunga na CHADEMA wakidai wanaifuaata dempkrasia ya kweli.

"Jambo la kwanza Kabisa ni Amani ya moyo. Kama ulivyosikia siku ile alipotangaza kurudi CCM alisema kabisa hana sababu ya kubaki kwenye chama ambacho hakimpi Amani ya moyo. Amerejea CCM ambako alikuwa anaipata."

Jambo jingine lililomsababisha mrembo huyo kurudi CCM ni kitendo cha kuwaona viongozi wakubwa mbalimbali wakijiunga au kurudi CCM. Jambo lingine lililosababisha WEMA arudi CCM ni pamoja na kutokukabidhiwa kadi ya CHADEMA kwa muda mrefu.

"Unajua aliona anakosa zile confidence za kujinasibu kama ni CHADEMA damu. Hilo limemfanya a one kuna urahisi tu yeye kwani anakokupigania wala hakujamfunga kivile" kilisema chanzo hicho

Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 753 336 000 au +255 625 917 902

Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
 Bofya Hapa

No comments:

Powered by Blogger.