MCHEZAJI WA YANGA ATAMBULISHWA RASMI
"Tunahitaji kuwa na vijana ambao watakuwa wakiwa ndani ya klabu,hii itawafanya kujua misingi na utamaduni wetu Kabla kuwa wachezaji wakubwa baadae, ana kipaji kikubwa,ni jukumu la benchi la ufundi kukiendeleza kwa manufaa ya klabu siku za usoni"- Hussein Nyika.....#Nkomolla
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
No comments: