HAYA HAPA MATOKEO MAJI MAJI VS STAND UNITED LEO VPL 3 NOVEMBER 2017
Timu ya Majimaji ya Songea leo imefanikiwa kubakiza points 3 muhimu nyumbani mara baada ya kuwaadhibu Stand United kwa bao 1 Kwa 0 Goli Likipatikana dakika ya 51 kupitia kwa mchezaji Marcel Boniventure Kaheza.
Ushindi Huo unaifanya Maji Maji kufikisha Points 8 na Kutoka nafasi tatu za Chini zaidi kwa wakati Huu wakati mechi nyingine za Raundi ya 9 zikisubiriwa kuchezwa kesho na Kesho Kutwa, Maji Maji wanakwea mpaka nafasi ya 1o kwenye Msimamo toka nafasi ya 14 waliyokuwa awali.
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi