Breaking News : JENGO LA CLOUDS MEDIA LINAUNGUA MOTO
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema jengo la Clouds Media linaungua moto.Taarifa za awali zinasema moto huo umetokana na hitilafu ya umeme kwenye chumba cha kurushia matangazo cha Clouds TV.
Taarifa zaidi tutawapa hivi punde
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
No comments: