SIMBA WAKWEPA HUJUMA ZA YANGA HIKI NDIO WALICHOKIFANYA LEO
Simba tofauti na awali walivyotangaza kupitia kwa msemaji wake Haji Manara kuwa timu ingewasili kesho kutokea Zanzibar wameingia Dar kwa ndege leo wakitokea Zanzibar kwa ajili ya mchezo wao wa kesho dhidi ya Yanga.
Kuna taarifa za ndani kutoka Simba kuwa wamefanya hivyo kukwepa hujuma za wapinzani wao ambao wangeweza kuwahujumu kuelekea pambano hilo.
Simba na Yanga zitapambana kesho katika uwanja wa Uhuru kwenye mechi ya Mzunguko wa 8 VPL Unaotarajiwa kuanza majira ya saa 10 kamili jioni.
Video Simba wakiwasili Dar Hii hapa chini.
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi