MAHAKAMA KUU YAZUIA MBOWE ASIKAMATWE



Leo Feb 21, 2017 Mahakama Kuu imeamuru Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe asikamatwe hadi maombi yake kutokamatwa yataposikilizwa siku ya Ijumaa.

Kiongozi huyo wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni tarehe 10 mwezi huu alifungua kesi ya Kikatiba dhidi ya RC Paul Makonda, Kamanda Simon Sirro.

Aidha Mahakama imewaushauri upande wa mlalamikaji kurekebisha hati ya mashtaka kisha wairudishe tena siku ya Jumatatu.


- Siku ya jana Mawakili wa Mbowe waliweka pingamizi la kutokamatwa kwa kiongozi huyo lakini kabla taarifa hazijalifikia Jeshi la Polisi, Mbunge huyo wa Hai akatiwa nguvuni

Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 753 336 000 au +255 625 917 902

Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
 Bofya Hapa
Powered by Blogger.