Raisi Magufuli amteua Anne Kilango Malecela kuwa mbunge
Rais John Pombe Magufuli amemteua Anne Kilango Malecela kuwa mbunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Mwaka 2016 Anne Kilango aliteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga kisha kutumbuliwa kutokana na kusema kuwa mkoa wa Shinyanga hauna watumishi hewa.

Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi