🚨 🇲🇦 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: RASMI RS BERKANE NI MABINGWA WAPYA WA LIGI KUU NCHINI MOROCCO


RASMI RS Berkane ni Mabigwa Wapya wa Ligi kuu ya Nchini Morocco 🇲🇦 Botola Pro 2024/25 Baada ya Sare ya 1-1 Dhidi ya Union Tourage Sports.

RS Berkane Wamecheza jumla ya Mechi 25 wamekusanya Alama 60 Alama ambazo hata wakipoteza Mechi zote zilizo salia Awatafikiwa na Timu yeyote kwenye ligi Hiyo.

Ni kombe lao la kwanza la ligi Toka wapande Daraja na Toka Klabu hiyo ianzishwe May 8 Mwaka 1938.


⚠️ Hii ni Moja ya Timu Tishio zaidi kombe la Shirikisho CAF 2024/25.

Post a Comment

Previous Post Next Post