MAKAMU WA RAIS WA YANGA ARAFAT HAJI ATUPA JIWE GIZANI


Makamu wa Rais wa Klabu ya Yanga Arafat Haji ameandika ujumbe katika mtandao wa kijamii wa X (twitter) ukiwa katika mfumo wa jumbo.

“Unaweza kuendesha Watu ila huwezi kuwaendesha wakati wote, unaweza kuburuza watu ila huwezi kuwaburuza wakati wote, unaweza kuwaongopea watu ila huwezi kuwaongopea wakati wote, kuwa makini na maji yaliyotulia, yana kina kirefu sana”

Ujumbe huu umekuja ikiwa juzi tu Rais wa TFF Wallace Karia kutoa kauli iliyowafanya mashabiki wa klabu ya Yanga kuona kama wamefedheheshwa sana

Post a Comment

0 Comments