RAIS SAMIA AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA DRC IKULU DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Machin26, 2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Félix Antoine Tshisekedi ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi hiyo Thérèse Kayikwamba Wagner, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments