UWANJA WA KMC COMPLEX KUWEKWA TAA


Manispaa Ya Kinondoni Ambayo ndyo wamiliki Halali Wa Uwanja Wa KMC Complex 🏟️ Wameweka wazi kuwa wako Mbioni kuweka taa Katika Uwanja Huo.

Uwanja Wa KMC unatumiwa na Timu 3 ambazo ni Simba Sc Yanga Sc pamoja na KMC FC.

Post a Comment

0 Comments