Breaking: SIMBA YAMFUKUZA KOCHA WAKE ZORAN MAKI



KLABU ya Simba ya Dar es Salaam, imefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa timu hiyo, Zoran Maki.
Taarifa rasmi ya Simba.

Taarifa kwa umma iliyotolewa muda mfupi uliopita na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez, imesema uamuzi huo umefikiwa kwa makubaliano ya pande zote mbili na kwamba timu hiyo kwa sasa itakuwa chini ya Kocha Msaidizi, Suleiman Matola.

Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 753 336 000 au +255 625 917 902

Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
 Bofya Hapa

No comments:

Powered by Blogger.