AMUUA BABA YAKE KWA MADAI YA KUSHINDWA KUMTAFUTIA MCHUMBA

Jeshi la Polisi mkoani Mtwara linamshikilia Kristatus Victory (23) mkazi wa Lukuledi wilayani Masasi kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi, Victory Milanzi (74) kwa madai ya kushindwa kumtafutia mchumba wa kuoa.
Akizungumza Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani humo, ACP Issack Mushi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema mtuhumiwa anadaiwa kumchoma kisu mdomoni na tumboni baba yake, kisha kumjeruhi mama yake mzazi, Carolina Ludugeli (68).
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
No comments: