Video: RAIS SAMIA AMSIFIA HARMONIZE HADHARANI

NI Novemba 23, 2021 ambapo Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa Usalama Barabarani mkoani Arusha.

Na miongoni yaliyojiri katika hafla hiyo ni wakati wa hotuba ya Rais aliposikika kuwataja wasanii wawili akiwemo Marioo na Harmonize.

Unaweza ukabonyeza play kufahamu kile alichozungumza Rais Samia kuhusu wasanii hao wawili.

Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 753 336 000 au +255 625 917 902

Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
 Bofya Hapa

No comments:

Powered by Blogger.