JAMAA AISHITAKI HOSPITALI KWA KUSHONWA VIBAYA NA NESI AMBAYE NI MPENZI WAKE WA ZAMANI
KIJANA Evans Mutugi ameishitaki Hospitali ya Maura nchini Kenya kwa kitendo cha yeye kufanyia ushonaji usio kuwa wa kibinadamu na nesi ambae anadaiwa kuwa aliwahi kuwa mchumba wake (ex-girlfriend).
Tukio hilo la kustaajabisha lilitokea Jumatatu iliyopita, Novemba 8, 2021 baada ya Mutugi kupelekwa hospitalini hapo kwa matibabu ya dharura baada ya kupata ajali ya pikipiki siku ya Jumamosi, Novemba 6, 2021 majira ya mchana ambapo alipokelewa na kuhudumiwa na nesi huyo aitwaye Rose Kagwira (ex-wake).
Mutugi kupitia wanasheria wake wa John & K company ameishitaki hospitali hiyo na kudai fidia ya kiasi cha Ksh milioni 6.4 sawa na Tsh milioni 131.66.
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
No comments: