HUYU NDIYE MWANAFUNZI ALIYEONGOZA MATOKEO DARASA LA SABA KITAIFA
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo Jumamosi Oktoba 30, 2021 limetangaza matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba mwaka 2021 ambapo mwanafunzi aliyehitimu shule ya msingi St Anne Marie iliyopo mkoani Dar es Salaam, Eluleki Evaristo Haule limemtangaza ndiye aliyeibuka kinara katika matokeo ya mtihani ya Darasa la Saba 2021.
Akitangaza matokeo hayo Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde amesema watahiniwa bora kitaifa ni wale ambao wamepata alama nyingi zaidi kuliko wenzao kwenye masomo sita waliyotahiniwa.
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
No comments: