YANGA WAJA NA MCHONGO MPYA MATATA, KILIMANJARO NA ZANZIBAR ZAHUSISHWA
KLABU ya Yanga leo Septemba 17 imeingia makubaliano na Wizara ya Maliasili na Utalii, ya kuvaa jezi zenye nembo ya VISIT KILIMANJAO & ZANZIBAR kwenye michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Yanga inaipeperusha bendera ya Tanzania kwenye mechi za Ligi ya Mabingwa na kwa sasa ipo kwenye hatua za awali za Ligi ya Mabingwa.
Mchezo wao ujao ni wa marudio dhidi ya Rivers United ambao unatarajiwa kuchezwa Jumapili, Septemba 19 nchini Nigeria.
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
No comments: