SIMBA YAWEKA WAZI KIKOSI CHA TP MAZEMBE KWA AJILI YA SIMBA DAY JUMAPILI HII
Timu ya soka ya Simba leo kupitia ukurasa wao rasmi wa instagram wametoa orodha ya wachezaji wa kikosi cha timu ya Tp Mazembe kitakachosafiri kuja Tanzania kucheza nao katika tamasha la Simba day siku ya jumapili tarehe 19 mwezi huu
Simba ambao bado wamejichimbia huko jijini Arusha wakiendelea kujifua kujianda na michuano mbalimbali ikiwemo ligi kuu,ligi ya mabigwa na kombe la ligi
Aidha Simba leo watashuka dimbani kucheza na Aigel Noir kucheza mchezo wa kirafiki ukiwa nimuendelezo wa kujiandaa na michuano mbalimbali
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
No comments: