TAKUKURU YAMSHIKILIA MWANASHERIA WA BARAZA LA TAIFA LA HIFADHI NA MAZINGIRA BERNARD KONGOLA KWA RUSHWA

TAKUKURU inamshikilia Mwanasheria wa Baraza la Taifa la Hifadhi ya Mazingira(NEMC), Bernard Kongola na Polisi wawili wa kituo cha Mbweni kwa madai ya kuomba Rushwa ya Shilingi milioni 1 kutoka kwa Mkalimani binafsi wa Kiwanda cha Yong Long Plastic

Post a Comment

0 Comments