
Alutha Mughwai ni msemaji wa familia ameita waandishi wa habari moja ya jambo alilolizungumza nikushukuru serikali kupitia Makamu wa Rais kwa kumtembelea Lissu pamoja na suala la gharama za matibabu ambazo bunge halija gharamia zikiwa zimepita siku mia moja.
“Kutoka serikalini ambaye amekwenda kumuangalia ni Makamu wa Rais, kama mlivyomsikia alisema ametumwa na Rais kwenda kumjulia hali, zaidi ya yeye hakuna kiongozi mwingine wa serikali alienda kumjulia hali,” – Mughwai
“Hakuna mtu aliyechukua jukumu la kumtibu Lissu, mawasiliano ya mwisho tuliyoyapata toka Ofisi ya
0 Comments