KOCHA WA SINGIDA UNITED PLUIJIM AITAHADHARISHA YANGA MECHI YA LEO
Pamoja na kukiri kuwa Yanga ni timu nzuri, Kocha mkuu wa Singida United Hans van der Pluijm ameitahadharisha na kusema kuwa hakuna timu inayoshinda kabla ya mechi kuchezwa.
Pluijm amesema kwamba, Yanga ni timu yenye uzoefu kwenye ligi na ina balance nzuri lakini muhimu ni kusubiri dakika 90 ziamue mchezo.
“Yanga ni timu yenye uzoefu wana balance nzuri kwenye timu lakini hakuna timu inayoshinda kabla mechi haijachezwa”-Hans van Pluijm, kocha Singida United.
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
No comments: