JE, UNAJUA CHANNEL ITAKAYOONESHA MICHUANO YA CECAFA CHALLENGE?

Kama ulikuwa unawaza ni wapi hasa utaweza kuangalia michuano ya Cecafa Senior Challenge Cup ambayo itazikutanisha timu 9 kutoka Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati pamoja na nchi mmoja Mwalikwa ambayo ni nchi ya Libya Basi sasa Ondoa shaka kabisa.

Mkurugenzi mtendaji wa Azam TV Tido Mhando Leo amethibitisha kuwa Azam TV wameingia mkataba na CECAFA kuonyesha Michuano hiyo mikubwa kwa ngazi ya Time ya Taifa Katika ukanda Huu.

“Kwa upande wetu maandalizi yanaendelea vizuri na timu nzima ya utayarishaji na urushaji matangazo ya moja kwa moja (Mubashara) tayari ipo katika vituo vyote nchini Kenya ambavyo vitatumikwa kwa mashindano ya mwaka huu,”

Nasi kama kwataunit com tutakuwa pamoja kukupa kila kinachojiri nchini Kenya katika michuano hiyo.

Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 753 336 000 au +255 625 917 902

Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
 Bofya Hapa

No comments:

Powered by Blogger.