Breaking News : RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI MBALIMBALI

Ras John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali jioni hii wakiwemo Mabalozi, Wakuu wa Mikoa, Makatibu na Manaibu Makatibu wa Wizara.


Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa
Mkoa wa Manyara - Mkuu wa Mkoa ni Alexandar Pastor Mnyeti (Alikuwa DC wa Arumeru)

Mkoa wa Rukwa - Mkuu wa Mkoa ni Joachim Leonard Wangabo (alikuwa DC wa Nanyumbu)

Mkoa wa Geita - Mkuu wa Mkoa ni Bwana Robert Gabriel Lughumbi (alikuwa DC wa Korogwe)

Mkoa wa Mara - Mkuu wa Mkoa ni Adam Kigoba Ally Malima (aliwahi kuwa kwenye baraza la mawaziri awamu ya nne)

Mkoa wa Dodoma - Mkuu wa mkoa ni Bi. Christine Solomoni Mndeme (alikuwa DC wa Dodoma Mjini)

Mkuu wa Mtwara - Gelasius Gasper Byakanwa (alikuwa DC wa Hai)

Uteuzi wa Mabalozi
Dr. Aziz P. Mlima - Amekuwa Balozi (alikuwa Katibu Mkuu wizara mambo ya nje)

IGP Mtaafu Ernest Mangu - AMekuwa Balozi

Hawa Vituo vyao vya kazi vitatangazwa

Uteuzi wa Makatibu Wakuu na Manaibu wao
Ofisi ya Rais Ikulu - Katibu Mkuu Alifayo Kidata

Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na utawala Bora - Katibu Mkuu Dr. Lawrian Ndumbaro
> Naibu Katibu Mkuu - Bi. Dorothy Mwaluko

Ofisi ya Rais TAMISEMI - Katibu Mkuu Eng. Mussa Iyombe
> Naibu Katibu Mkuu (TAMISEMI Afya) - Zainabu Chaula
> Naibu Katibu Mkuu (TAMISEMI Elimu) - Dickson Nzunda

Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira - Katibu Mkuu Eng. Joseph Kizito Manongo (alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo hiyo)
> Naibu Katibu Mkuu - Bi. Butamo Kasuka Philipo

Ofisi ya Waziri Mkuu
>Kazi na Ajira - Katibu Mkuu Erick Shitindi
>Bunge na Waziri Mkuu - Katibu Mkuu Bi. Maimuna Tarishi
>Sera - Katibu Mkuu Faustine Kamuzora (amehamishwa kutoka ofisi ya makamu wa rais)

Wizara ya Kilimo - Katibu Mkuu Eng. Mathew Mtigumwe
>Naibu Katibu MKuu - Dr. Tomas Didim Kashilila

Wizara ya Mifugo na Uvuvi
> Mifugo - Katibu Mkuu Dr. Maria Mashingo
> Uvuvi - Katibu Mkuu Dr. Yohana Budeba

Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano
>Uchukuzi - Katibu Mkuu Dr. Leonard Chamuriho
>Ujenzi - Katibu Mkuu Eng. Joseph Nyamuhanga
>Mawasiliano - Katibu Mkuu Dr. Maria Msasabo
Naibu Katibu Mkuu Mawasiliano - Eng. Adelina Madete

Wizara ya Fedha na Mipango - Katibu Mkuu Dotto James Mgosha
> Naibu Katibu Mkuu Utawala - Bi. Suzan Mkapa
> Naibu Katibu Mkuu Fedha za Nje - Bi. Amina Shaaban
> Naibu Katibu Mkuu Sera - Dr. Hakingu M. Kazungu

Wizara ya Nishati - Katibu Mkuu Dr. Hamis Mwinyimvua (Anatoka ofisi ya Waziri Mkuu)

Wizara ya Madini - Katibu Mkuu Prof. Saimon S. Msanjila (alikuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu)

Wizara ya Katiba na Sheria - Katibu Mkuu Prof. Sifuni Mchome
> Naibu Katibu Mkuu - Bwana Amon Mbanju

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki - Katibu Mkuu Prof. Adolph Mkenda (ambaye ni Mchumi, anatoka Wizara ya Biashara na Uwekezaji)
> Naibu Katibu Mkuu - Balozi Ramadhan Muomba Mwinyi

Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa - Katibu Mkuu Dr. Florence Nduruka
> Naibu Katibu Mkuu - Bi. Emmaculate Peter Ngwale

Msikilize hapa chini Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi
akisoma majina ya Wakuu wa mikoa, Makatibu Wakuu, na Manaibu Katibu Wakuu walioteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni Alhamis Oktoba 26,2017

Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 753 336 000 au +255 625 917 902

Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
 Bofya Hapa
Powered by Blogger.