WEMA SEPETU AFUNGUKA MAZITO BAADA YA NDUGU YAKE KUPIGWA NA POLISI MAHAKAMANI
Moja ya story ambayo inatrend kwa sasa kwenye mitandao mbalimbali ni pamoja na issue aliyoiandika Mwigizaji staa wa Bongomovie na Miss Tanzania 2006 Wema sepetu katika ukurasa wake wa Twitter akizungumzia hali ya mtu aliyedai ni ndugu yake.
Wema ameandika kupitia ukurasa wake wa twitter leo July 28, 2017 akisema:>>>”Ninachojua mimi ni kwamba Binadamu ana haki ya kwenda mahakamani kusikiliza kesi ya ndugu yake… Imeniuma sana kilichomtokea kaka angu jana. Only now nakuja kujua kwamba alichukuliwa na mapolice wakaenda kumpiga mpaka sasa yupo hospital amelazwa.
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi