TAMKO ZITO LA JUKWAA LA WAHARIRI TANZANIA BAADA YA CHADEMA KUWAFUKUZA WAANDISHI WA HABARI WA TBC

Jukwaa la wahariri limepokea kwa masikitiko taarifa za kufukuzwa kwa waandishi wa habari wa kituo cha runinga cha TBC wakati wakitekeleza majukumu yao.

Wamesema kwamba vitendo vya kuwabugudhi waandishi wa habari haviwezi kupewa nafasi katika jamii na Uongozi wa CHADEMA uchukue hatua stahiki kuhusu suala hili.