SIMBA B YAFUNGWANA PRISON, KESHO FAINALI PRISONS VS YANGA B

Timu ya Simba B Imefungwa Kwa Penalty 6 kwa 5 na timu ya Prisons, mara baada ya dakika tisini Kumalizika kwa sare ya bao 1 kwa 1 Hii ni Michuano ya Tacaids, Maarufu kama TACAIDS CUP.Kesho Kutakuwa na Fainali kati ya Yanga na Prisons.

Yanga ameingia Fainali mara baada ya Kuifunga Mbeya City jana Jumla ya Goli 3 kwa 0