CHADEMA WAICHEFUA SERIKALI KUWATIMUA WAANDISHI WA HABARI WA TBC

Image result for chadema
Msemaji Mkuu wa Serikali ameonesha kukerwa na kitendo cha baadhi ya viongozi wa CHADEMA kuwazuia waandishi wa habari wa TBC na kudai kuwa kitendo hicho ni cha kuwanyima haki wengine.