VIDEO ;HAIWEZEKANI NIKULIPE HALAFU UKAE UNANITUKANA - SPIKA NDUGAI
VIDEO; HAIWEZEKANI NIKULIPE HALAFU UKAE UNANITUKANA- SPIKA NDUGAI
May 2, 2017 Spika wa Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania Job Ndugai alionesha kutopendezwa na baadhi ya wasaidizi wa ofisi ya bunge wanaohusika kuandika hotuba za kambi rasmi ya upinzania Bungeni ambazo zimekuwa zikivunja miiko ya utumishi.
‘Lazima tufike mahali tuheshimiane, tuwe tunakumbuka huyu Spika mnayemtukana na kumdharau ndio baba’ –Spika Job Ndugai
Full video ipo hapa......................
VIDEO: Wabunge walivyosimama kumtetea Halima Mdee
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi