KAULI YA WAZIRI WA VIWANDA KUHUSU KENYA KUPIGA MARUFUKU GESI YA TANZANIA
Leo
Waziri wa Viwanda na Biashara Charles Mwijage amekiri kupokea taarifa
za katazo lililotolewa na serikali ya Kenya juu ya uuzwaji wa gesi
zinazotumika majumbani zinazotoka Tanzania na kusema wataalamu wa wizara
wanazifanyia kazi taarifa hizo.
Waziri
Mwijage ametoa taarifa hiyo wakati alipozungumza na mwandishi wahabari
wa Azam Two mjini Dodoma baada ya kuzagaa kwa taarifa za serikali ya
kenya kupiga marufuku ya gesi zamajumbani za Tanzania kuuzwa Kenya na
kukiri kuwa Kenya wamekuwa na chokochoko kadhaa lakini watahakikisha
wanakaa chini kutafuta suluhu ikiwa ni pamoja na kuwashirikisha viongozi
wa juu wa nchi hizi mbili.
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi