LOWASA, MBOWE NA WEMA SEPETU WATINGA UWANJA WA TAIFA KUSHUHUDIA MECHI YA SIMBA NA YANGA


 Mwigizaji Wema Sepetu, Waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ni miongoni mwa waliojitokeza kuhudhuria mechi ya Simba vs Yanga kwenye uwanja wa Taifa Dar es salaam leo February 25 2017.


Waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa akisindikizwa kuingia uwanjani kutazama mechi.