IKULU YAKANUSHA TAARIFA HII KUHUSU RAISI MAGUFULI
Msigwa ameandika kupitia ukurasa wake wa Twitter kuwa taarifa hiyo si ya Ikulu na kuwa imetengenezwa na wahalifu wa mitandao hivyo kwa kuwataka wananchi kuipuuza.
Taarifa ya uongo inayosambazwa ni hii… Tafadhari ukiiona ipuuze!
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi