Klabu ya Zamalek ya nchini Misri imeshinda ombi lake la kudai pointi tatu kutoka kwaenye mechi ya Cairo Derby ambayo haikufanyika dhidi ya Al Ahly.
Chama cha Vilabu Nchini Misri 🇪🇬 kimekubali ombi hili na kimeamua kutoa pointi tatu kwa Zamalek na pia kupunguza pointi tatu kutoka kwa jumla ya pointi za Al Ahly Mwishoni mwa Msimu huu.
Ikiwa timu ya Al Ahly itakataa kucheza mechi yake inayofuata dhidi ya Pyramids FC, basi itashushwa hadi Ligi Daraja la 4 nchini Misri.
©️ Micky Jr 🇸🇳.
Tags:
michezo