STENDI UNITED YAIPIGA MTIBWA SUGAR UWANJA WA KAMBARAGE SHINYANGA
byMASENGWA-
0
Timu ya Stand United FC, imeifunga Mtibwa Sugar FC bao 1-0 katika mchezo wa Ligi ya Championship uliochezwa leo Machi 17, 2025, katika uwanja wa CCM Kambarage mkoani Shinyanga.